Episode's summary
Wiki iliyopita Mahakama nchini Kenya, ilimuhukumu kifungo cha miaka 200 mchungaji mwenye utata Paul Mackenzie, baada ya kumpata na hatia ya kuhusika na mauaji ya shakahola, hukumu iliyoibua hisia mseto. Tuambie unazungumziaje adhabu iliyotolewa na mahakama, unafikiri inatosha? Haya hapa maoni yako.

Episodes
Kenya : Paul Mackenzie afungwa jela miaka 200
ListenedWiki iliyopita Mahakama nchini Kenya, ilimuhukumu kifungo cha miaka 200 mchungaji mwenye utata Paul Mackenzie, baada ya kumpata na hatia ya kuhusika na mauaji ya shakahola, hukumu iliyoibua hisia mseto. Tuambie unazungumziaje adhabu iliyotolewa na mahakama, unafikiri inatosha? Haya hapa maoni yako.
Kenya: Yaadimisha miaka 63 ya uhuru wake
ListenedTaifa la Kenya linaadhimisha miaka 63 ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania uhuru wa taifa hilo Tunakuuliza ni njia ipi sahihi ya kuwakumbuka wote waliopigania uhuru barani Afrika ? Skiza makala.
Africa : Umaskini unatatiza bara Africa
ListenedOktoba 17 dunia huadimisha siku ya kumaliza umaskini kwa wote. Bara Africa bado umaskini ni donda sugu, hapa mskilizaji anatoa maoni yake kuhusu swala hilo.